Iran yasema hakuna mazungumzo mapya na Marekani kwa sasa
Mapema Iran ilishambulia kwa ndege zisizo na rubani meli kadhaa za kijeshi za Marekani kulipiza kisasi, baada ya Marekani kushambulia na kukamata meli ya mizigo ya Iran katika eneo la Ghuba ya Oman