Feature Image

Mwijaku Achukua Fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo Hili….

Mwijaku Achukua Fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo Hili….

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mtangazaji/Mwigizaji Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku amejiunga rasmi kwenye mchakato wa kuwania Ubunge kwa kuchukua fomu ya kugombea Jimbo la Mvomero Mkoani Morogoro kupitia tiketi ya CCM.